Occupation(Fani):Udereva (Driving).

1. Course Name (Jina la Kozi): Smart Driving (PSV) - Udereva wa Abiria (c1,c2,c3) wenye mafunzo ya Tehama.

Kwanini Ushiriki Kozi hii? Utajifunza:

 • udereva wa kujihami.
 • Ukaguzi wa matairi na matumizi yake.
 • Nguzo za awali za udereva.
 • Huduma kwa wateja.
 • Kujua kuendesha gari.
 • Huduma ya kwanza na afya.

Nani Anatakiwa Ashiriki?

 • Awe na leseni daraja D au E isiyopungua miaka mitatu (3)

 Mada za Kozi:

 • Nguzo za awali za udereva.
 • Falsafa za udereva.
 • Udereva wa kujihami.
 • Usafiri na mazingira.
 • Alama na michoro ya barabarani.
 • Huduma ya kwanza na afya.
 • Zana na vifaa vya usalama wa gari.
 • Huduma kwa wateja.

Muda: Wiki 2.

Ada: 275,000/=.

Sehemu: VETA KIPAWA ICT CENTRE.

Download form for this course here (Pakua form ya kozi hii hapa) >>>

 

Occupation(Fani):Udereva (Driving).

2. Course Name (Jina la Kozi): Udereva wa awali wenye mafunzo ya Tehama (Smart driving Basic”).

Kwanini ushiriki Kozi hii?

kozi hii itamfanya mwanafunzi aweze kufahamu alama na michoro ya barabarani, kujua mifumo mbalimbali ya gari na kuendesha gari kwa vitendo ka kuzingatia falsafa ya udereva wa kujihami, kufahamu nyaraka za gari, matumizi ya ramani, matumizi ya kamera na mawasiliano ndani ya gari na kujifunza kompyuta .

Nani Anatakiwa Ashiriki?

 • Yeyote mwenye huhitaji wa kuwa dereva mahili.
 • Awe na leseni daraja H (LENA).

Mada za kozi:

 • Lijue gari lako (Know your vehicle).
 • Ukaguzi wa gari (vehichle check /inspection).
 • Mfumo wa upoozaji (cooling system).
 • Mfumo wa ulainishaji (lubricant system).
 • Alama za barabarani (Traffic signs).
 • Udereva wa kujihami (defensive driving).
 • Nyaraka za gari na dereva (vehicle and driver documents).
 • Utunzaji wa matairi (Tyre care).
 • Ukaguzi wa gari kwa vitendo.
 • Kuendesha gari kwa vitendo (vehicle practice).
 • Kuandaa barua.
 • Kuandaa wasifu wa mtu.
 • Kuandaa bajeti.
 • Usimamizi wa taarifa na mahesabu.
 • Matumizi ya ramani”.
 • Matumizi ya Mfumo wa Pozisheni wa Dunia.
 • Matumizi ya kamera na Mawasilioni ya ndani ya gari.
 • Ujasiliamali.

Muda: Wiki 6.

Ada: 260,000/=.

Mahali: VETA KIPAWA ICT CENTRE.

Download form for this course here (Pakua form ya kozi hii hapa) >>>

 

Occupation(Fani):Udereva (Driving).

3. Course Name (Jina la Kozi): Mafunzo ya Kuendesha Pikipiki.

Kwanini ushiriki Kozi hii?

 • Kuacha umbali ya pikipiki na gari.
 • Mavazi sahihi ya kuvaa awapo barabarani.
 • Atajua mifumo mbalimbali ya pikipiki.
 • Alama za michoro ya barabara.
 • Atajua kuendesha pikipiki.

 Nani Anatakiwa Ashiriki?

 • Yeyote mwenye huhitaji wa kuwa dereva mahili.
 • Awe na leseni daraja H (LENA).

Mada za kozi:

 • Ijue pikipiki yako.
 • Alama za barabarani.
 • Udereva wa kujihami.
 • Utunzaji wa matairi.
 • Huduma kwa wateja.
 • Mavazi sahihi ya kuendeshea pikipiki.
 • Kuendesha kiafya na huduma kwa wateja.

Muda: Wiki 2.

Ada: 120,000/=.

Mahali: VETA KIPAWA ICT CENTER.

Download form for this course here (Pakua form ya kozi hii hapa) >>>

 

Occupation(Fani):Udereva (Driving).

4. Course Name (Jina la Kozi): Mafunzo Maalum ya Kuendesha Pikipiki.

Kwanini Ushiriki Kozi hii?

 • Kuacha umbali ya pikipiki na gari.
 • Mavazi sahihi ya kuvaa awapo barabarani.
 • Atajua mifumo mbalimbali ya pikipiki.
 • Alama za michoro ya barabara.
 • Atajua kuendesha pikipiki.

Nani Anatakiwa Ashiriki?

 • Dereva wa pikipiki mwenye nadhalia ya vitendo lakini hana mafunzo ya darasani wala leseni.
 • Awe na leseni daraja H (LENA).

Mada za kozi:

 • Ijue pikipiki yako.
 • Alama za barabarani.
 • Udereva wa kujihami.
 • Utunzaji wa matairi.
 • Huduma kwa wateja.
 • Mavazi sahihi ya kuendeshea pikipiki.
 • Kuendesha kiafya.

 Muda: Wiki moja (1).

Ada: 50,000/=

Mahali: VETA KIPAWA ICT CENTER.

Download form for this course here (Pakua form ya kozi hii hapa) >>>

 

Occupation(Fani):Udereva (Driving).

5. Course Name (Jina la Kozi):     Mafunzo ya Udereva wa Mizigo (Malori).

Kwanini ushiriki Kozi hii?

Kozi hii itamuwezesha mshiriki kuongeza  uelewa wa usafirishaji wa mizigo na kupata mbinu mbalimbali za uendeshaji wa magari ya mizigo. Pia itamuwezesha mshiriki kubadili leseni ya daraja D, C1,C2 na C3 kwenda kwenye daraja E.

Nani Anatakiwa Ashiriki?

 • Yeyote mwenye leseni daraja D, C1,C2 na C3
 • Mwenye leseni daraja E hana mafunzo wala cheti

Mada za kozi:

 • Utambuzi wa gari la mizigo.
 • Maandalizi ya undeshaji wa gari la mizigo.
 • Kutambua alama na michoro ya barabarani.
 • Kutambua sheria za barabarani na kanuni za usalama.
 • Utambuzi wa nyaraka za usafirishaji.
 • Utambuzi wa mifumo mbalimbali wa gari la mizigo.
 • Udereva wa kujihami.
 • Uendeshaji wa gari kwa ufanisi.
 • Afya na usalama kwa dereva.
 • Kutambua Ekseli Lodi na uzito.
 • Kukabiliana na ajali na uharibifu wa gari..
 • Stadi za Maisha..
 • Huduma ya Kwanza na Mbinu za Uzimaji Moto.

Muda: Wiki 2.

Ada: 375,000/=.

Mahali: VETA KIPAWA ICT CENTRE.

Download form for this course here (Pakua form ya kozi hii hapa) >>>