Long Course Student

Kiukweli nimetokea kukipenda chuo cha Veta Kipawa kwa Mengi nikianza na miundo mbinu ya chuo ni mizuri kiasi ya kwamba yalinishawishi kusoma kwa bidii. Pia Chuo kina Walimu Wabobezi katika kila fani, hivyo hupelekea wanafunzi kuweza kuelewa kwa haraka. Chuo pia kina vitendea kazi vingi na vizuri ambavyo vinasaidia wanafunzi katika masomo ya vitendo.

X