Long Course Student
Hussein KisesaKiukweli nimetokea kukipenda chuo cha Veta Kipawa kwa Mengi nikianza na miundo mbinu ya chuo ni mizuri kiasi ya kwamba yalinishawishi kusoma kwa bidii. Pia Chuo kina Walimu Wabobezi katika kila fani, hivyo hupelekea wanafunzi kuweza kuelewa kwa haraka. Chuo pia kina vitendea kazi vingi na vizuri ambavyo vinasaidia wanafunzi katika masomo ya vitendo.
Short Course Student
John PeterNashukuru Sana kwa Waziri Mkuu kutupa nafasi hii vijana ili kujikwamua kimaisha napia kupata ujuzi na kuongeza ufanisi katika kazi. Na pia natoa shukrani kwa chuo cha Veta Kipawa ICTC, katika kutusimamia vema vijana katika ujuzi na ufanisi. Shukrani zangu kwa uwongozi wote wa chuo na walimu kwa ujumla niseme Asante Mungu awabariki Sana. Ujuzi niliopata umenisaidia kujiajili mwenyewe na kupata kipato kinachoweza kunisaidia katika maendeleo yangu na jamii kwa ujumla. Nawashauri vijana wenzangu msikate tamaa maana nafasi bado zipo ili kuweza kutimiza malengo yetu.
Parent’s Remarks
Godlove Leo MtweveVETA Kipawa Information and Communication Technology CenterĀ is an institute that focuses on the future of Information and Communication Technology. As an Institute, our responsibility is to provide a conducive environment for skills building, learning, promoting practical innovation as well as community service. Vocational courses that are offered, have been carefully designed to suite a wide range of clients in a challenging world of Advancing Technology. Individual students have the opportunity to choose courses depending on their interest and convenience. I have enrolled my children here and I am glad with their education progress.